Posts

MABARAZA YA YATAKIWA KUCHAGUA VIONGOZI WAPYA WENYE SIFA

Image
Wajumbe wa mabaraza ya Vijana Zanzibar wametakiwa kuchagua viongozi imara ambao wataendesha vyema mabaraza hayo. Akizungumza na wajumbe wa mabaraza ya vijana kisiwani Pemba Afisa mdhamini Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Salum Ubwa Nassor katika mkutano wa tathimini wa baraza hilo tangu lilipoanzishwa mwaka 2016 hadi 2021 huko Gombani Chake chake Pemba. Amesema bila ya viongozi wenye sifa hawawezi kulifanya baraza kufikia katika maendeleo yaliokusudiwa katika kuanzishwa kwake. ‘’Niwaombe wajumbe mliopo kwenye baraza na mliostafu kutafuta wenye viti na makamo wapya ambao wataliendeleza baraza hilo’’ amesema mdhamin ubwa. Akifafanua kua viongozi wa mabaraza yaliopita walifanikiwa kwa kiasi kikubwa kwani waliweza kuongeza vijana wengi katika mabaraza yao. Kwa upande wake mwenyekiti wa baraza la Vijana Zanziba Khamis Kheri Makoti amesema wameamua kufanya tathmini ya mabaraza ya vijana kwa mujibu wa sheria ya kuanzishwa kwake katika kipindi chote cha uongozi wao tokea ...

TALAKA ZACHANGIA UDHALILISHAJI KWA WATOTO

Image
Kukosekana kwa Malezi ya pamoja kati ya Baba na Mama ni chanzo kikubwa kinachopelekea Watoto kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji ikiwemo Ulawiti na Ubakaji. Akizungumza na Pemba ya leo Katibu wa kamati ya Madili kupitia baraza la Tasisi za Kislamu Zanzibar Abdala Mnubi Abasi amesema imebainika kuwa wanandoa wengi wanapoachana mzigo mkubwa wa malezi humuangukia mama peke yake hali ambayo kunakosekana kwa huduma bora kwa Watoto. Amesema kukosekana kwa malezi ya pamoja ya Baba na Mama watoto hukosa  matunzo stahiki na kuamua kujiajiri wenyewe hali ambayo inasababisha kufanyiwa udhalilishaji. ‘’Inapovunjika ndoa   Watoto husambaratika kwani mababa hawatoi tena huduma’’, Alisema katibu wa madili. Amesema imebainika kuwa wengi wafanywaji wa matukio hayo ni watoto ambao wamekosa malezi ya pamoja kutokana na wazazi wao kuachana. Katibu huo amewataka wanajamii kuwa na subra wakati inapotokezea migogoro ya kifamilia na kutafuta suluhu mbadala ili kuepusha talaka za ovyo ovyo jambo ...

WANANCHI WAHIMIZWA KUWAPELEKA WATOTO VITUO VYA AFYA KUPATA CHANJO

Image
Wizara ya Afya Zanzibar imewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi kuwapeleka watoto wao katika Vituo vya Afya ili kupata chanjo jambo ambalo litawakinga Watoto na maradhi mbali mbali ya mambukizi ikiwemo Pepopunda na Kifaduro. Akizungumza na Wandishi wa habari huko ukumbi wa Maabara Chake chake Pemba Afisa Mdhamini wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Yakoub Mohd Shoka amesema zoezi la utoaji wa chanjo litanza rasmi tarehe 26 hadi 30 mwezi huu katika Vituo vyote vya Afya vilivyomo wilaya zote Visiwani hapa. Amesema   kila mwisho wa   mwezi wa Nne ya kila mwaka, ni wiki ya chanjo ya Afrika ambapo kwa Zanzibar   wizara ya Afya huadhimisha   zoezi la utoaji wa chanjo za kawaida kwa Watoto na akinamama ili kua na jamii isio na mambukizi ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ‘’Chanjo huweka Jamii pamoja’’. Amesema lengo la Chanjo hizo ni kuhakikisha Watoto wote wanapatiwa, ili waweze kuondokana na maradhi hatarishi ikiwemo Saratani ya mlango wa kizazi, Polio...

KOCHA wa timu ya Waawi Star Kasim Ali Kasim amesema atautumia mfungo wa ramadhani kwa kukifua kikosi chake ili kiwefiti katika michano ya ligi daraja la kwanza kanda ya Pemba,itayoendelea tena mara baada ya mfungo wa Mwezimtukufu wa ramadhani.

  KOCHA wa timu ya Waawi Star Kasim Ali Kasim amesema atautumia mfungo wa ramadhani kwa kukifua kikosi chake ili kiwefiti   katika michano ya ligi daraja la kwanza kanda ya Pemba,itayoendelea tena mara baada ya mfungo wa Mwezimtukufu wa ramadhani. Wawi Star ambayo ilishawahi kushiriki   ligi kuu ya Zanzibar, msimu wa mwaka juzi iliyaanza mashindano hayo kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Mkoroshoni United katika   mchezo uliopigwa uwanja wa Gombani Kisiwani hapa. Akizungumza na Mwanaspoti Kocha huyo alisema licha kuwa Vijana wake wapo kwenye swaumu lakini atakitumia kipindi cha mapunziko ya ligi kwa kufanya mazoezi ya kufa mtu kuona wanafanya vizuri kwenye mzunguko wa pili. Alisema katika mzunguko uliopita aliona udhaifu mkubwa kwenye   kikosi chake hasa katika sehemu ya umaliziaji kiasi cha kumfanya kocha huyo kuamua   kuutumia mwezi huu wa mfungo kukiandaa kikosi chake. ‘’Kkipindi hichi cha ramadhani hatutolala tutahamasishana kufanya mazoezi kuona yale ...

TIMU ZA LIGI DARAJA LA KWANZA KISIWANI PEMBA ZATAKIWA KJIANDA VIZURI ILI KUKABILIANA NA MZUNGUKO WA PILI BAADA YA MFUNGO

Image
SALIM HAMAD,PEMBA KOCHA Mkuu wa timu ya Chipukizi Mwalim Mzee Ali Abdalla amezitaka timu zinazoshiriki ligi draraja la kwanza kanada ya Pemba,kujiandaa kiushindani ili kuhakikisha zinafanya vizuri katika mzunguko wa pili baada ya kupisha mfungo wa mwezi wa  ramadhani. Akizingumza na Mwanaspoti Kocha huyo alisema katika michezo yote 12 ya mzunguko wa kwanza iliyochezwa timu nyingi  zilionesha dhahiri kwamba hazikuwa na maandalizi ya kutosha hivyo zinahitaji kujipanga vizuri na kukuzakuitia ladha ligi hiyo. Alisema ukiangalia kwenye matokeo timu nyingi zilikuwa zinatoka sare kiasi ya kwamba timu zinafanana kimatokeo ambapo alidai kuwa hicho ni kiashiria tosha kuonesha kwamba timu hazikuwa na maandalizi mazuri. ‘’Nidhahiri kwamba katika mzunguko ulimalizika timu nyingi hazikuwa na maandalizi ya kutosha zilishiriki tu kwani zilikuwa kila siku zinapokea taarifa ligi inaanza lakini haifanyiki jambo hilo limeziathiri sana klabu za Pemba ‘’alisema Mwalimu huyo. Alisema inagawa baadhi ...

VILABU VYA DARAJA LA KWANZA KANDA YA PEMBA YATAKIWA KUJIPANGA KIMASHINDANI

  SALIM HAMAD,PEMBA KOCHA Mkuu wa timu ya Chipukizi Mwalim Mzee Ali Abdalla amezitaka timu zinazoshiriki ligi draraja la kwanza kanada ya Pemba,kujiandaa kiushindani ili kuhakikisha zinafanya vizuri katika mzunguko wa pili baada ya kupisha mfungo wa mwezi wa   ramadhani. Akizingumza na Mwanaspoti Kocha huyo alisema katika michezo yote 12 ya mzunguko wa kwanza iliyochezwa timu nyingi   zilionesha dhahiri kwamba hazikuwa na maandalizi ya kutosha hivyo zinahitaji kujipanga vizuri na kukuzakuitia ladha ligi hiyo. Alisema ukiangalia kwenye matokeo timu nyingi zilikuwa zinatoka sare kiasi ya kwamba timu zinafanana kimatokeo ambapo alidai kuwa hicho ni kiashiria tosha kuonesha kwamba timu hazikuwa na maandalizi mazuri. ‘’Nidhahiri kwamba katika mzunguko ulimalizika timu nyingi hazikuwa na maandalizi ya kutosha zilishiriki tu kwani zilikuwa kila siku zinapokea taarifa ligi inaanza lakini haifanyiki jambo hilo limeziathiri sana klabu za Pemba ‘’alisema Mwalimu huyo. Alis...

VILABU VYA DARAJA LA KWANZA KANDA YA PEMBA VYATAKIWA KUJIPANGA KIMASHINDANI

  SALIM HAMAD,PEMBA KOCHA Mkuu wa timu ya Chipukizi Mwalim Mzee Ali Abdalla amezitaka timu zinazoshiriki ligi draraja la kwanza kanada ya Pemba,kujiandaa kiushindani ili kuhakikisha zinafanya vizuri katika mzunguko wa pili baada ya kupisha mfungo wa mwezi wa   ramadhani. Akizingumza na Mwanaspoti Kocha huyo alisema katika michezo yote 12 ya mzunguko wa kwanza iliyochezwa timu nyingi   zilionesha dhahiri kwamba hazikuwa na maandalizi ya kutosha hivyo zinahitaji kujipanga vizuri na kukuzakuitia ladha ligi hiyo. Alisema ukiangalia kwenye matokeo timu nyingi zilikuwa zinatoka sare kiasi ya kwamba timu zinafanana kimatokeo ambapo alidai kuwa hicho ni kiashiria tosha kuonesha kwamba timu hazikuwa na maandalizi mazuri. ‘’Nidhahiri kwamba katika mzunguko ulimalizika timu nyingi hazikuwa na maandalizi ya kutosha zilishiriki tu kwani zilikuwa kila siku zinapokea taarifa ligi inaanza lakini haifanyiki jambo hilo limeziathiri sana klabu za Pemba ‘’alisema Mwalimu huyo. Alis...