Posts

Showing posts from January, 2022
  NA FATMA HAMAD PEMBA Licha ya jitihada ya serekali ya mapinduzi ya Zanzibar katika ujenzi wa barara za lami bado kunawananchi ambao wamekuwa wakijenga karibu na miundombinu hiyo jambo ambalo likileta usumbufu kwa serekali Azikizungmza na wananchi wa wilaya ya micheweni mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi bara bara ya maziwangombe naibu sipika wa baraza la wakilishi Zanzibar Mgeni Hassani Juma amesema wapo baadhi ya watu wamekuwa wakijenga pembezoni mwa bara bara jambo ambalo limekuwa likigharimu serekali kwa kulazimika kulipa fidia wakati wa utanuzi wa miundombinu hiyo Hata hivyo amewataka watendaji wa wizara ya mawasiliano kulisimamia ili kuepusha malalamiko ambayo yanaweza kujitokeza kwa wananchi Mkuu wa mkoa kaskazini Pemba Salama Mbaruku Khatibu amesema ujenzi wa bara bara hiyo itatowa furusa kubwa kwa wawekezaji wanaotaka kuja kuwekaza katika maeneo huru ya micheweni Akitowa taarifa ya kitaalamu katibu mkuu wiazara ujenzi masiliano na uchukuzi Amori Hamili Bakari amesema uje

JAMII YAHIMIZWA KUITUNZA AMANI

Image
NA FATMA  HAMAD PEMBA.   Wadau waliopatiwa  mafunzo ya utatuzi wa migogoro kwa njia ya mani wamehimizwa  kuendelea kuielimisha jamii kujiepusha  na migogoro isiyo ya lazima ambayo itapelekea uvujifu wa amani Nchini. Akizungumza na wadau waliopatiwa mafunzo ya utatuzi wa migogoro  kutoka Tasisi mbali mbali Kisiwani Pemba Afisa ufuatiliaji na tathmini kutoka kituo cha huduma za Sheria Zanzibar Khamis Haroun Hamad amesema  badojamii imekabiliwa na migogoro mbali mbali hivyo ipo haja kuendelea kutolewa kwa elimu ya utatuzi wa migogoro kwa njia ya amani ili kuona wanasuluhishana wenyewe kwa wenyewe bila ya kuekeana visasi. ‘’Migogoro ya Ardhi pamoja na ndoa imeonekana kwamba ndio inayoshamiri katika jamii hivyo ipo haja kwa wadau hao kuchukua jitihada za makusudi kuielimisha jamii kuchukuwa hatua stahiki  pindi  unapotokezea mgogoro  jambo ambalo litasaidia kuepusha  mivutano  na mifarakano kwao’’ alisema Afisa ufuatiliaji. Aidha amesema bila ya kuepo kwa amani hakuna maendeleo yoyote hivyo