Posts

Showing posts from May, 2023

ZRA YAWAPA MZIGO WANDISHI WA HABARI PEMBA.

Image
                                                                                                                                                  NA FATMA HAMAD PEMBA. AFISA MDHAMINI WIZARA YA MAENDELEO  YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO   HAFIDHI  ALI  MOHAMED AMEWAKAWA WAANDISHI WA HABARI KUENDELEA  KUWAELIMISHA  WATU  UMUHIUMU WA ULIPAJI KODI NA KUDAIRISITI ZA KIELEKRONIK  AFISA  MDHAMIN  AMETOA  KAULI  HIYO  WAKATI  AKIZUNGUMZA  NA  WAANDISHI  WAHBARI  KISIWANI  PEMBA  KATIKA   MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI  DUNIANI  ULIYOFANYIKA  UKUMBI WA TASSAF CHAKE CHAKE  PEMBA. AMESEMA ULIPAJI WA KODI KWA WANANCHI NDIO INASADIA SERIKALI KUFANYA SHUNGHULI MBALI MBALI  ZA KIMAENDELEO NCHINI. ''NDUGUZANGU WANDISHI WA HABARI NYINYI NDIO JICHO LA JAMII HIVYO TUANAWAOMBA MTUSAIDIE KUTOA ELIMU KWA JAMII JUU YA UMUHIMU KWA JAMII'' ALIELEZA AFISA MDHAMINI. NAE  MWENYEKITI WA  PEMBA  PRESS  CLUB,  BAKARI  MUSSA  JUM  , AMESEMA   IPO  HAJA  YA  KUADHIMISHA  SIKU  HIYO, 

WIZARA YA AFYA WATOA USHAURI KWA WANDISHI WA HABARI

  NA FATMA HAMAD PEMBA. Wandishi wa habari wamehimizwa   kuendelea   kuielimisha   jamii   kufahamu   umuhimu   wa   chanjo   ili waweze kujitokeza   kwa wingi vituo vya afya   kupata   chanjo jambo ambalo litawaepusha na   maradhi mbali mbali   ikiwemo shurua,   Saratani ya shingo ya kizazi   pamoja   na   Korona. Wito huo umetolewa na Afisa mdhamini wizara ya Afya Pemba Khamis Bilali Ali katika mkutano wa tathmini ya huduma wa mpango   wa chanjo zinazotolewa   Zanziba   ya   mwaka   2022   kwa   wandishi   wa   habari   huko   baraza   la   mji   Chake   chake   Pemba. Amesema jukumu kubwa la wandishi wa habari ni kuielimisha jamii katika masuala mbali mbali ya kimaendeleo, hivyo ni wakati   kwa wandishi wa habari kuwafahamisha wananchi kupata chanjo zinazotolewa na wizara ya Afya kwa usahihi ili kuepusha vifo vya watoto na jamii kiujumla. ‘’Ndugu zangu wandishi wa habari tunawaomba mtusaidie kuifahamisha jamii wawapeleke watoto wao wapate chanjo ili kuwakinga na magonjwa hat