Posts

Showing posts from April, 2024

WALIMU WATAKIWA KUVIANDAA NA KUVITUNZA VIPAJI VYA MICHEZO MASKULINI ILI VIWEZE KUFANYA VIZURI KATIKA MASHINDANO

Image
                      NA FATMA HAMAD,PEMBA Timu ya Netball ya Wasichana imejipanga kufanya vizuri katika michuano ya elimu bila malipo inayotarajia kuanza hivi karibuni.   Mashindano hayo hufanyika kila mwaka na kushirikisha Skuli za Msingi na Sekondari zilizopo Unguja na Pemba, kwa michezo tofauti ikiwemo Natball.  Akizungumza na Pemba ya leo Blog   Fatma Abdalla alisema kwa vile mwaka jana hawakufanya vizuri, mwaka huu wamedhamiria kutwaa ubingwa kwenye mashindano hayo.  Alisema Kwa sasa wanafanya maandalizi kwa kufanya mazoezi ili waweze kufikia ndoto zao walizojiwekea katika timu yao.  Alisema unapofanya maandalizi mapema mara nyingi inakuwa unajiweka kwenye nafasi nzuri .  "Unajua sisi lengo letu kufanya maandalizi mapema tunataka kufanya mazuri ambayo yataisaidia timu hiyo "alisema.     Hivyo aliwataka wanatimu hao wasivunjike moyo bali waendelee kubambana kihali na mali ili kuhakikisha mwaka huu wanashika nafasi ya mwanzo.            

WANAWAKE WATAKIWA KUWA NA UTHUBUTU ILI WAWEZE KUSHIKA NAFASI ZA UONGOZI

Image
                          NA NIHIFADHI ISSA,UNGUJA WANAWAKE WAMETAKIWA KUTOKUVUNJIKA MOYO PINDI WAKIKOSA NAFASI WALIYOGOMBANIA    BALI WAZIDI KUONESHA ARI   UTHUBUTU, KUJIAMINI NA KUSOMA MAMBO MBALIMBALI ILI KUFIKIA LENGO LA KUWAPAMBANIA WENGINE WITO HUO UMETOLEWA NA NAIBU SPIKA ZANZIBAR    LAKINI   PIA NI MWAKILISHI KUPITIA VITI MAALUM UWT MKOA WA MJINI      MGENI HASSAN JUMA WAKATI AKIZUNGUMZA NA MWANDISHI WA HABARI HIZI HUKO NYUMBANI KWAKE TUNGUU MKOA WA KUSINI UNGUJA MH MGENI AMBAE NI NAIBU SPIKA WA KWANZA MWANAMKE WA BARAZA LA WAWAKILISHI HAPA ZANZIBAR AMESEMA HAKUWA NA NDOTO ZA KUWA KIONGOZI KWANI KITAALUMA ALIKUWA MWALIMU LAKINI CHANGAMOTO ZA WANAWAKE NA WATOTO   ZILIMSUKUMA KUINGIA KWENYE SIASA MWAKA 2010 NA KUWA KIONGOZI   ILI KUWA MTETEZI WAO KATIKA NGAZI ZA MAAMUZI ALISEMA KUTOKANA NA ULIMWENGU KUBADILIKA WANAWAKE WANATAKIWA KUJIKITA KWENYE ELIMU   AMBAYO ITAMSAIDIA KUJENGA HOJA NA KUJIAMINI KATIKA KUFIKIA NDOTO ZA KUWA KIONGOZI ALI SULEIMAN SHIHATA MWAKILISHI

WANAHARAKATI WAPAZA SAUTI KUTAKA UWEPOSUALA LA USAWA KATIKA NAFASI ZA UONGOZI

Image
                                 NA MADINA ISSA, UNGUJA UTEKELEZAJI WA MIKATABA NA MATAMKO MBALIMBALI YA KIKANDA, KITAIFA NA KIMATAIFA JUU YA SUALA LA USAWA WA KIJINSIA BADO NI KITENDAWILI WISIWANI ZANZIBARKWANI WANAWAKE AMBAO NDIO WENGI NCHINI   KWA ASILIMIA 52     HAWASHIRIKISHWI IPASAVYO KATIKA NGAZI ZA MAAMUZI   KWA MUJIBU YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA MWAKA 2024 KWA ZANZIBAR IDADI YA MADIWANI WANAWAKE NI ASILIMIA 23, WAWAKILISHI ASILIMIA 16 NA KWA UPANDE WA WABUNGE NI WA 4 KATI YA 50 AMBAYO NI SAWA NA ASILIMIA 8 BI ZAWADI AMOUR NASSOR MWAKILISHI WA JIMBO LA KONDE     AMESEMA KWAKE HAIKUWA RAHISI KUPATA NAFASI HIYO KWANI WANAWAKE WANAPITIA CHANGAMOTO NYINGI KUFIKIA NDOTO ZA KUWA VIONGOZI IKIWEMO KUTOUNGWA MKONO NA JAMII INAYOWAZUNGUKA, KUVUNJWA MOYO PAMOJA NA UHABA WA FEDHA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI.  AIDHA AMESEMA SABABU NYENGINE NI HOFU NA KUTOKUJIAMINI HALI INAYOPELEKEA WANAWAKE WENGI KURUDI NYUMA KUINGIA KWENYE KINYANG’ANYIRO CHA KUGOMBEA NGAZI MBALIBALI ZA KUWA VIO

MKUGENZI WA CHAMA CHA WANDISHI WA HABARI WANAWAKE ATAKA KUWEPO NA USAWA WA KIJINSIA KATIKA NAFASI ZA UONGOZI

Image
                           NA MADINA ISSA,UNGUJA MKURUGEZI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE TANZANIA TAMWA ZANZIBAR   DK MZURI ISSA   AMESEMA IKIWA ZANZIBAR IMO NDANI YA TANZANIA INAWAJIBU KUTEKELEZA MAKUBALIANO YA KIMATAIFA YA KUWEPO USAWA WA KIJINSIA KWENYE NAFASI ZOTE ZA UONGOZI AKIZUNGUMZA NA KATI FM HUKO OFISINI KWAKWE TUNGUU MKOA WA KUSINI UNGUJA AMESEMA LICHA YA SHERIA NA   MATAMKO MBALIMBALI   BADO HALI YA UTEKELEZAJI WA SERA NA SHERIA HIZO HAURIDHISHI   NA NI KINYUME NA ILIVYORIDHIWA MIKATABA YA KIMATAIFA   KWANI TAKWIMU ZA NAFASI YA MWANAMKE UONGOZI WA USHEHA KWA ZANZIBAR NZIMA   UNGUJA NA PEMBA   NI   ASILIMIA 20 TU AMESEMA UTAFITI UNAONESHA KUWA VIONGOZI WANAWAKE WANAFANYA KAZI VIZURI ZAIDI PINDI WAKIPATIWA NAFASI HIVYO NI VYEMA WANAOHUSIKA KATIKA UTEUZI WA NAFASI ZA USHEHA KUANGALIA WANAWAKE WANAOWEZA KUONGOZA NA UPATIKANE USAWA WA KIJINSIA KWA WOTE KWA UPANDE WAKE MKURUGENZI IDARA YA URATIBU TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA ZANZIBAR BI ZAINA B KHAMIS