WALIMU WATAKIWA KUVIANDAA NA KUVITUNZA VIPAJI VYA MICHEZO MASKULINI ILI VIWEZE KUFANYA VIZURI KATIKA MASHINDANO

 

                  NA FATMA HAMAD,PEMBA

Timu ya Netball ya Wasichana imejipanga kufanya vizuri katika michuano ya elimu bila malipo inayotarajia kuanza hivi karibuni.

 Mashindano hayo hufanyika kila mwaka na kushirikisha Skuli za Msingi na Sekondari zilizopo Unguja na Pemba, kwa michezo tofauti ikiwemo Natball.

 Akizungumza na Pemba ya leo Blog  Fatma Abdalla alisema kwa vile mwaka jana hawakufanya vizuri, mwaka huu wamedhamiria kutwaa ubingwa kwenye mashindano hayo.

 Alisema Kwa sasa wanafanya maandalizi kwa kufanya mazoezi ili waweze kufikia ndoto zao walizojiwekea katika timu yao.

 Alisema unapofanya maandalizi mapema mara nyingi inakuwa unajiweka kwenye nafasi nzuri .

 "Unajua sisi lengo letu kufanya maandalizi mapema tunataka kufanya mazuri ambayo yataisaidia timu hiyo "alisema.

 

 
Hivyo aliwataka wanatimu hao wasivunjike moyo bali waendelee kubambana kihali na mali ili kuhakikisha mwaka huu wanashika nafasi ya mwanzo.


 

 

 

 

 

 

Comments

Popular posts from this blog

UTELEKEZAJI WA WANAWAKE UNAVYOKATISHA NDOTO ZA WATOTO.

Mkuu wa Polisi Jamii Kaskazini Pemba akerwa na wanao wafungia ndani watoto wenye ulemavu.

Mrajisi wa Mahakama Zanzibar ahidi kula sahani moja na Mahakimu wasio wadilifu.