ZRA YAWAPA MZIGO WANDISHI WA HABARI PEMBA.

 

                                                                         


                                                                      NA FATMA HAMAD PEMBA.

AFISA MDHAMINI WIZARA YA MAENDELEO  YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO   HAFIDHI  ALI  MOHAMED AMEWAKAWA WAANDISHI WA HABARI KUENDELEA  KUWAELIMISHA  WATU  UMUHIUMU WA ULIPAJI KODI NA KUDAIRISITI ZA KIELEKRONIK 

AFISA  MDHAMIN  AMETOA  KAULI  HIYO  WAKATI  AKIZUNGUMZA  NA  WAANDISHI  WAHBARI  KISIWANI  PEMBA  KATIKA   MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI  DUNIANI  ULIYOFANYIKA  UKUMBI WA TASSAF CHAKE CHAKE  PEMBA.

AMESEMA ULIPAJI WA KODI KWA WANANCHI NDIO INASADIA SERIKALI KUFANYA SHUNGHULI MBALI MBALI  ZA KIMAENDELEO NCHINI.

''NDUGUZANGU WANDISHI WA HABARI NYINYI NDIO JICHO LA JAMII HIVYO TUANAWAOMBA MTUSAIDIE KUTOA ELIMU KWA JAMII JUU YA UMUHIMU KWA JAMII'' ALIELEZA AFISA MDHAMINI.

NAE  MWENYEKITI WA  PEMBA  PRESS  CLUB,  BAKARI  MUSSA  JUM , AMESEMA   IPO  HAJA  YA  KUADHIMISHA  SIKU  HIYO,  KWA  KUWAPATIA  WAANDISHI  WA  HABARI   ELIMU  YA  KODI  ILI WAENDELEEE KUTOWA  ELIMU  HIYO  KWA  WANANCHI  KUPITIA  TAALUMA ZAO.


AKIWASILISHA  MADA  YA  KODI  KWA  WADAU  HAO,  AFISA  KUTOKA  MAMLAKA  YA  MAPATO  ZANZIBAR  ZRA , KHAIRAT  SAID  SOUD,  AMESEMA  ZRA  ITAHAKIKISHA  INAENDELEA  KUSHIRIKIANA  NA  WAANDISHI  WA HABARI  KATIKA  KUTOA  ELIMU  KWA  WANANCHI  KWA  LENGO  LA  KUSHAJIHISHA  JAMII  JUU   YA  ULIPAJI KODI   KWA  KUTOA  RISITI  ZA  ELEKTRONIK   WAKATI   WANAPOFANYA   MAUZO   NA   WANAPO   NUNUWA.






Comments

Popular posts from this blog

UTELEKEZAJI WA WANAWAKE UNAVYOKATISHA NDOTO ZA WATOTO.

Mkuu wa Polisi Jamii Kaskazini Pemba akerwa na wanao wafungia ndani watoto wenye ulemavu.

Mrajisi wa Mahakama Zanzibar ahidi kula sahani moja na Mahakimu wasio wadilifu.