NA FATMA HAMAD PEMBA

Licha ya jitihada ya serekali ya mapinduzi ya Zanzibar katika ujenzi wa barara za lami bado kunawananchi ambao wamekuwa wakijenga karibu na miundombinu hiyo jambo ambalo likileta usumbufu kwa serekali

Azikizungmza na wananchi wa wilaya ya micheweni mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi bara bara ya maziwangombe naibu sipika wa baraza la wakilishi Zanzibar Mgeni Hassani Juma amesema wapo baadhi ya watu wamekuwa wakijenga pembezoni mwa bara bara jambo ambalo limekuwa likigharimu serekali kwa kulazimika kulipa fidia wakati wa utanuzi wa miundombinu hiyo

Hata hivyo amewataka watendaji wa wizara ya mawasiliano kulisimamia ili kuepusha malalamiko ambayo yanaweza kujitokeza kwa wananchi

Mkuu wa mkoa kaskazini Pemba Salama Mbaruku Khatibu amesema ujenzi wa bara bara hiyo itatowa furusa kubwa kwa wawekezaji wanaotaka kuja kuwekaza katika maeneo huru ya micheweni

Akitowa taarifa ya kitaalamu katibu mkuu wiazara ujenzi masiliano na uchukuzi Amori Hamili Bakari amesema ujenzi wa bara bara hiyo umekamika kwa asilia thamanini ambapo jumla ya bilioni tano na thaladhini na mbili elfu na nukta mbili zilizotumika kwa ujenzi huo

Comments

Popular posts from this blog

UTELEKEZAJI WA WANAWAKE UNAVYOKATISHA NDOTO ZA WATOTO.

Mkuu wa Polisi Jamii Kaskazini Pemba akerwa na wanao wafungia ndani watoto wenye ulemavu.

Mrajisi wa Mahakama Zanzibar ahidi kula sahani moja na Mahakimu wasio wadilifu.