Posts

Showing posts from September, 2026

UCHUMI WA BULUU YAJA NA MRADI WA KUIMARISHA UVUVI ENDELEVU

Image
Sekta ya uvuvi, ufugaji wa samaki na kilimo cha mwani iznaendelea kuwa nguzo muhimu ya ajira na kipato kwa wananchi wa Zanzibar huku Serikali na taasisi binafsi ikiweka mkazo katika matumizi ya rasilimali za baharini kama fursa ya biashara na uwekezaji.   Hayo yalisemwa na Afisa Mdhamini wizara ya Uchumi wa Buluu DK Salim Mohamed Hamza wakati akizungumza katika mkutano wa wadau wa Mradi wa Kuimarisha Uvuvi Endelevu na Ufugaji wa Mazao ya Baharini Tanzania, TASFAM, huko katika ukumbi wa ZRA Gombani Chakechake Kusini Pemba.  Alisemesema ushirikiano wa wadau ni muhimu katika kuongeza uzalishaji, ajira na kipato kwa wananchi. ALisema kwa Sasa serikali imeelekeza zaidi katika sekta ya Bahari, hivyo imeamua kuleta Mardi huo wa kuimarisha usimamizi endelevu wa uvuvi na ufugaji wa mazao baharini, ili wadau waunge mkono Mradi huo na lile lengo la serikali liweze kutimia la kujipatia kipato kupitia Bahari.  "Nyinyi wadau mnaoshughulika na masuala ya Bahari mnamchango maku...

WAVUVI WATAKIWA KUTUMIA ZANA MBADALA KULINDA RASILIMALI BAHARI

Image
NA FATMA HAMAD, PEMBA   AFISA MRADI wa Kuimarisha Uvuvi endelevu na usimamizi wa Mazao ya Bahari TASFAM Salma Sururu Juma amewataka wananchi wanaofanya shughuli za  Uvuvi kuhakikisha wanafanya shughuli hizo wanatumia zana za kisasa ambazo zinaruhusiwa kisheria, ili kulindavrasilimali za Bahari na kuona zinakua endelevu. Wito huo meutoa wakati akizungumza na Maafis Uvuvi na wadau wanaosimamia shughuli za Uvuvi, katika mkutano wa kuutanbulisha Mardi huo wa kuimarisha Uvuvi endelevu na usimamizi wa Mazao ya Baharini TASFAM huko ukumbi wa wizara ya Fedh Gombani Chakechake Kusini Pemba.  Alisema bila kutumia  zana za kisasa na zinazokubalika kisheria, sio rahisi rasilimali Bahari zikaweza kuhifadhika na kua endelevu. Alisema lengo la Mardi huo ni kuhivadhi Mazao ya Bahari, hivyo ipo haja kwa maafisa Uvuvi kusimamia ipasavyo kuona wavuvi na wanaofanya shughuli za abaharini kuwa na zana zinazokubalika, ili lengo liweze kulengo lifikiwe na kuona serikali inaingiza ki...