UBAKAJI BADO NI TATIZO




 

Mahakamayamkoachakechakeimeiondoshakesiyaubakajiinayowakabilihabibrashidkhamismwenyeumriwa 25 mkaaziwakungenipamojanayassirabdalakhamismwenyeumri 19 mkaaziwashungiwilayachakemkoawakusinipembabaada yay a mtuhumiwahabibu Rashid kuthibitikakuwaameshafungandoanamsichanawamiaka 16.

UwamuzihuoumekujabaadayaMwendeshamashtakawaserikalikutokaofisiyamkurugenziwamashtakajumaalijumakuithibitishiaMahakamakuwatayarimtuhumiwanambambiliameshafungaNdoanaMtotoanaedaiwakumbaka.

Mwendeshamashtakawaserikalikutokaofisiyamkurugenziwamashtakajumaalijumaaliambiamahakamahiyokuwamtuhumiwahabiburashidtayariameshafunganaendoamsichanahuyo , nasasawanaishipamojakimumenamkenahivyohakunatenakesiitakayoendeleanakupatikanakwaushahidihalisi.

HivyoHakimuwaMahakamahiyolusianoMakoeNyengoalipokubaliananaombila upandewamashtakanakutangazarasmikuliondoshashaurihilo la tuhumazaUtorashajinaubakaji.

ImedaiwaMahakamanihapowatuhumiwahaowalifanyaMakosamawilitofautiambapokosa la kwanza sikuisiyofahamikamweziwa 7 mwakahuusa 1; 00 kamilizausikuhukochanjaaniChakechakemkoawakusini Pemba nyotekwapamojamlimtoroshamsichanawamiaka 16 kutokanyumbanikwaoChanjaaninakumpelekaKilindiTundaua, kufanyahivyonikosakinyumenakifungu 113 [1] cha sheriayaAdhabyusherianambari 6  yamwaka 2018 sheriayaZanzibaer.

Kosa la piliwatuhumiwahaowalitendasikuhiyohiyomajiraya 2;00 usikuwalimbakamsichanahuyowamiaka 16, ambapokosahilonikinyumenakifungu cha 108 [1] na 110 [1] [2] sheriayaadhabunambari 6 yamwaka 2018 sheriayaZanzibaer.

 

 






 

Comments

Popular posts from this blog

UTELEKEZAJI WA WANAWAKE UNAVYOKATISHA NDOTO ZA WATOTO.

Mkuu wa Polisi Jamii Kaskazini Pemba akerwa na wanao wafungia ndani watoto wenye ulemavu.

Mrajisi wa Mahakama Zanzibar ahidi kula sahani moja na Mahakimu wasio wadilifu.