JUMUIA YA WANDISHI WA HABARI YAZINDUA MRADI WA SAUTI YANGU , MANI YANGU NDIO KHATMA YANGU

 


NA FATMA HAMAD PEMBA.

WaandishiwaHabariKisiwani Pemba,wamesema kuwepo kwa mradi wa Sautiyangu Amani yanguHatma yanguutawezakuwasadiakatikakuandikahabarizinazolengamaswalayautatuziwamigogoro.

Wakizungumza Mara baadayauzinduziwaMradihuohukokatikaukumbiwaTumeyaUkimwiKisiwaniPemba,wamesemamradiahuoutawawezeshanamnayakuielimishajamiiumuhimuwakutunza Amani.

‘’kupitiamradihuusisiwandishiwahabariutatusaidiakatikakuandikahabarizamigogoro’’Walisemawandishi.

Kwaupande wake mwandishi Hassan Mselemkutokabaharifmamesemamaranyingivijanandiowanaotumiliwavibayakatikakuvuruga Amani yaNchi, hivyoatahakikishaanandikahabarizitakazotoajuuyaumuhimuwa Amani katikaJamii.

MapememaMwenyekitiwaJumiyayaWaandishiwaHabariPembaPresiClabuKisiwanihapaBakariMussaJumaamesemamradihuoutasadiakuongezauwelewajuuyaumuhimuwakutunza Amani hasakatikakipindi cha Uchaguzi.

‘’Lengo la mradihuonikuwajengawandishiwahabarikutoaelimukwajamiiilikujiepushanamigogoro’’ AlisemaMwenyekiti.

MradiwaSautiyangu Amani yanguhatmayanguuliozinduliwanaKlabuyaWaandishiwaHabariPemba,PPCunafadhiliwanauropeaniunioni ,Fondation For Civil SocietsnaSeachi For KomanGraund.



Comments

Popular posts from this blog

UTELEKEZAJI WA WANAWAKE UNAVYOKATISHA NDOTO ZA WATOTO.

Mkuu wa Polisi Jamii Kaskazini Pemba akerwa na wanao wafungia ndani watoto wenye ulemavu.

Mrajisi wa Mahakama Zanzibar ahidi kula sahani moja na Mahakimu wasio wadilifu.