WANDISHI WATAKIWA KUIHAMASISHA JAMII JUU YA UMUHIMU WA CHANJO YA UVIKO 19
AFISA MdhaminiWizarayaAfyausatawiwaJamiijinsiaWazeenaWatotoPemba,Yakob Mohamed Shoka amewataka
waandishi wa Habari kutumia nafasin zao katika kuielimisha jamii kujitokeza kupatachanjo
ya kujikinga na uviko 19.
Shoka ametoa kauli hiyo wakati akizungumza
na waandishi wa Habari katika hafla ya mafunzo ya uhamasishaji wa uchomaji wa chanjo
uliofanyika Maabara kuu ya jamii Kisiwani
Pemba.
Amesema waandishi wananafasi kubwa ya
kuifikia jamii kwa haraka katika kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kupata
chanjo ya kujikinga na Virusi vya korona.
Maratib wa Huduma za Chanjo Kisiwani hapa
Bakari Hamad amesema Chanjohiyo inatolewa katika Hosptali na Vituo mbalimbali vya
Afya ikiwemo Hospital ya Micheweni, Wete Chakechake Pamoja na Abdala Mzee Mkoani
ili kuwarahisishia wananchi kupata huduma hiyo.
Nae Afisa muuguzi wakitengo Cha Chanjo Zanzibar Dr Huzuna Abd-rahman amewaomba wananchi kulipauzito
hasa wale wenyemaradhi yasukari, presha kutokuwanyuma katika zoezi hilo.
Katika haflahiyo Jumla ya watano
wamejitokeza kupatachanjo yakujikinga na ungoja wa uviko 19.
Comments
Post a Comment