Posts

Showing posts from March, 2024

WANDISHI WA HABARI WATAKA MABADILIKO KWENYE VIFUNGU VYA SHERIA AMBAVYO VINANYIMA UHURU WA HABARI

Image
    NA FATMA HAMAD,PEMBA                                                                 Wandishi wa habari wametakiwa kutumia taluma yao kwa kuvisemea vipengele vilivyomo kwenye sheria za habari ambavyo vimekuwa vikiwandamiza wandishi pamoja na vyombo vya habari katika utekelezaji wa kazi zao ili viweze kurekebishwa. Hayo yamesemwa na Shifaa Said Hassan kutoka baraza la Habari Tanzania [MCT] wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wandishi wa habari kuhusu masuala ya habari yaliofanyika ukumbi wa TAMWA Mkanjuni Chake chake Pemba. Alisema miongoni mwa vifungu ambavyo vimekuwa ni kikwazo kwa wandishi wa habari ni kifungu cha 4, na kifungu cha 27[1] vya sh...